Posts

Showing posts from April, 2020

Je Wajua Ameandika Malisa GJ

Image
Wakati wa uhai wake Kim Jong-il baba mzazi wa Kim Jong-Un, Kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini alioa wanawake wawili ambao ni Hong Il-chon na Kim Young-sook. Lakini aliishi kinyumba na wanawake wengine watatu na kufanya jumla ya wanawake zake kuwa watano. Hawa watatu hawakuwa wake wa ndoa bali mahawara, lakini waliotambulika rasmi na mamlaka za nchi hiyo (official domestic partners). Mahawara hao ni Song Hye-rim, Ko Yong-hui (mama yake Kiduku) na Kim Ok. Mke wa kwanza aliitwa Hong il-Chong. Huyu hakuwa chaguo la Kim Jong-il bali chaguo la baba yake. Yani baba alimchagulia mtoto mwenzi ambaye alikua binti wa rafiki yake. Wakaoana mwaka 1966 na kuzaa mtoto mmoja (Kim Hye-gyong) lakini ndoa yao haikudumu. Mwaka 1969 wakatalikiana. Baadae mwaka 1974 Kim Jong-il akaoa mwanamke mwingine aitwae Kim Young-sook ambaye nae alichaguliwa na baba yake tena. Japo ndoa yao ilikuwa na misukosuko mingi lakini waliishi pamoja hadi mwaka 2011 alipofariki. Alizaa nae mtoto mmoja aitwaye Kim Sul-son...

Mfahamu aliyejigeuza Zombie

Image

Unaijua Korea Kaskazini Wewe, haujui Hebu Soma hapa ni hatari

Image
Kama ulikua huijui vizuri Korea Kaskazi ngoja nikueleze;-          Sheria za Korea Kaskazini:-    Korea kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kuwa na dini yaani hakuna waislamu wala wakristo  marufuku,    Korea kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo  vitabu vitakatifu vya dini haviruhusiwi kuingia nchini humo,   Korea kaskazini - Rais anaheshimika kama mungu,   Korea kaskazini - kuvaa Vimini marufuku,   Korea kaskazini - Rais akiongea ukisinzia unapigwa risasi, mwaka juzi waziri wa ulinzi alipigwa risasi hadharani kwa kosa la kusinzia kwenye kikao wakati rais akiongea,   Korea kaskazini - ndio nchi pekee duniani iliowahi kuiteka Nyambizi ya marekani,    Korea kaskazini - Adhabu ya kifo ni adhabu ya kawaida mno,   Korea kaskazini - ni familia moja tu ndio inayoongoza nchi,   Korea kaskazini - hakuna vyama vingi,    Korea kaskazini - hakuna...

Aliyeuza madini kwa bangi

Image

Japan minyoo yawa dili

Image