Posts

Showing posts from May, 2020

Ndege mwenye speed kali zaidi ya viumbe Vyote

Image
Anaitwa PREREGRINE FALCON na kisayansi anaitwa Falco peregrinus falcon kwa kiswahili kizuri tunamwita  kipanga ni jamii ya mwewe family ni FALCON wanapatikana katika bara yote isipokua bara la antartica .falcon hatari zaidi wako katika bara la Amerca hao ndio wazee wa kazi yani ni balaa.. Uzito wao ni kg1 kwa dume na jike hufikia kg 1.5 ukubwa wa mbawa zao ni cm 80-120 na mkia unaurefu wa wa inch 7 na mdomo wao kwa mbele umejikunja kidgo kama wa mwewe Sasa hawa falcon ni balaa kwa speed wanaspeed zaidi ya upepo ๐Ÿ˜‚ spidi yake ni sawa na duma wawili anakasi ya kufika 320km/h ni zaidi ya vile vindege vya watu 6 ๐Ÿ˜€ hamna kiumbe chochote kinachofika hii spidi Huyu ni birds of prey yani ndege alae nyama na yuko very smart kwenye mawindo tofauti yake anaweza kuuwa hata prey wa kg 7 ila anamla hapo hapo tena chap chap Kwa kawaida anachagua prey akiwa hewanii afu anatoka spidi ya mwanga๐Ÿ˜€ anapiga kichwani kwa nguvu na pigo lake ni sawa na gogo.. hvyo prey hufa hapo hapo na...