Ndege mwenye speed kali zaidi ya viumbe Vyote
Anaitwa PREREGRINE FALCON na kisayansi anaitwa Falco peregrinus
falcon kwa kiswahili kizuri tunamwita kipanga ni jamii ya mwewe
family ni FALCON
wanapatikana katika bara yote isipokua bara la antartica
.falcon hatari zaidi wako katika bara la Amerca hao ndio wazee wa kazi yani ni balaa..
Uzito wao ni kg1 kwa dume na jike hufikia kg 1.5 ukubwa wa mbawa zao ni cm 80-120 na mkia unaurefu wa wa inch 7 na mdomo wao kwa mbele umejikunja kidgo kama wa mwewe
Sasa hawa falcon ni balaa kwa speed wanaspeed zaidi ya upepo ๐ spidi yake ni sawa na duma wawili anakasi ya kufika 320km/h ni zaidi ya vile vindege vya watu 6 ๐
hamna kiumbe chochote kinachofika hii spidi
Huyu ni birds of prey yani ndege alae nyama na yuko very smart kwenye mawindo tofauti yake anaweza kuuwa hata prey wa kg 7 ila anamla hapo hapo tena chap chap
Kwa kawaida anachagua prey akiwa hewanii afu anatoka spidi ya mwanga๐ anapiga kichwani kwa nguvu na pigo lake ni sawa na gogo.. hvyo prey hufa hapo hapo na ndipo ataanza kumla na anakula bata,kuku,ndege na wanyama wadogo dogo
Kwa kawaida huwa wanamate for life yani dume mmoja na jike mmoja
.ila dume kupata jike lazima awe na uwezo binafsi wa kuruka na kuwinda na jike akiridhika anakubali wanamate
.akiwa boya boya mvivu lazima atakufa hana watoto ๐๐
Jike anataga mayai 2-5 na akishataga hulalia na dume anakuwa analeta msosi bila kukosa mpka baada ya siku 33-38 anapototoa
.na dume ataendelea kuwinda na kuleta chakula mpaka baada ya siku 49 ndipo jike nae huenda kuwinda
Sasa kawaida dume analeta msosi kwa siku 87 bila kuchoka asubuhi mchana na jioni sasa lazima awe smart akichaguliwa boya lazima ndoa ivunjike au atauwa wenzie na njaa๐
Ebhaaaana eeh ile misemo ya "ANAPITA KAMA UPEPO" au "KUFUMBA NA KUFUMBUA" huyu ndio anaitendea haki
Unakuta bata wanapiga stori na wenzake jinsi ya kupanga maisha lakini ghafla chini ya sekunde moja anajikuta yuko peponi ๐๐๐ najua atakua haamini kabisa
Anatabia za kuua bata wa majini unakuta wapo kundi la bata anaua kisha anamla hapo hapo wenzake wakiwa wanashuhudia live ๐ akimaliza anasepa

Comments
Post a Comment