TAJIRI MKUBWA DUNIANI

*Tajiri mkubwa wa dunia* 
Jeff Bezos, ni mtu anayeshika nafasi ya kwanza kwa utajiri na katika historia ambayo haijawahi kurekodiwa. Wiki hii ameendelea kuvunja rekodi kwa kuwa mtu wa kwanza duniani kuwa na utajiri wa dollar Billion 200, sawa na Trilioni 464. Pia ripoti zinaonyesha anaingiza mkwanja sawa na $2,489 au Million 5.7 kwa sekunde.⠀
-
-⠀
Faida kubwa ya Jeff inatoka katika kampuni yake ya Amazon, mtandao mkubwa unaohusika na kuuza bidhaa mbalimbali online. Amazon imeongezeka thamani katika soko la hisa kwa asilimia 80%. Pia anamiliki Washington Post na kampuni kubwa ya kusafirisha vifaa na astronauts kwenye space ya Blue Origin. Ni moja kati ya matajiri wakubwa ambao wametoka katika Tech companies, Tech inalipa sana na ndio sababu wamiliki wakubwa wa Tech companies wanapata faida kubwa.⠀
-
-
Bezos ni moja kati ya matajiri wakubwa ambao wanatajirika katika kampuni za Tech na bado ana malengo ya kujenga hoteli za kutalii angani, utalii wa anga, kupeleka wanasayansi mwezini na kujenga kampuni ya kusafirisha watu nje ya dunia kwa bei rahisi chini ya kampuni ya Blue Origin. 
- 
-
NEW POST EVERY DAY 

Likeđź”›SAVEđź”› commentđź”› SHARE

Follow us @mr_sometime_

Contacts 0766346065///0625645425

.

Bado Tunaendelea kufundisha kuhusu online marketing, jinsi ya kuongeza wateja kwenye biashara kupitia mitandao, sponsored ads, YouTube masterclass 

Karibu sana

Install Utre News app link ipo kwenye bio yangu

Turn on Post Notification

PITIA PAGE HII UJIFUNZE ZAIDIđź‘‚

#Thisisourvoice

"we restore back our mind capability , we create facts to show our ability" .

.

Likeđź”›SAVEđź”› commentđź”› SHARE

Comments

Popular posts from this blog

KIFO NDIO KIWATENGENISHE

MFAHAMU MBAKAJI WA NGURUWE