TAJIRI MKUBWA DUNIANI
*Tajiri mkubwa wa dunia* Jeff Bezos, ni mtu anayeshika nafasi ya kwanza kwa utajiri na katika historia ambayo haijawahi kurekodiwa. Wiki hii ameendelea kuvunja rekodi kwa kuwa mtu wa kwanza duniani kuwa na utajiri wa dollar Billion 200, sawa na Trilioni 464. Pia ripoti zinaonyesha anaingiza mkwanja sawa na $2,489 au Million 5.7 kwa sekunde.⠀ - -⠀ Faida kubwa ya Jeff inatoka katika kampuni yake ya Amazon, mtandao mkubwa unaohusika na kuuza bidhaa mbalimbali online. Amazon imeongezeka thamani katika soko la hisa kwa asilimia 80%. Pia anamiliki Washington Post na kampuni kubwa ya kusafirisha vifaa na astronauts kwenye space ya Blue Origin. Ni moja kati ya matajiri wakubwa ambao wametoka katika Tech companies, Tech inalipa sana na ndio sababu wamiliki wakubwa wa Tech companies wanapata faida kubwa.⠀ - - Bezos ni moja kati ya matajiri wakubwa ambao wanatajirika katika kampuni za Tech na bado ana malengo ya kujenga hoteli za kutalii angani, utalii wa anga, kupeleka wanasayan...