MFAHAMU MBAKAJI WA NGURUWE
From @fmfacts
Baada ya Cody Slaughter Raia wa Yuma Arizona US Kukamatwa kwa Kumbaka Mtoto wa Miaka Miwili, Kumbaka Nguruwe, Mbwa na Farasi, Akakimbia Polisi Wakati Kesi Ikiendeelea. Mwaka 2012 Akapeleka Vyeti Vyake Kuomba Kazi Serikalini, Akakamatwa.
Ilikuwa ni July 12, 2012 ambapo mji wa Somerton, Arizona US ulikuwa unatafuta vijana wa kuwasomesha na kuwaajiri kwa kazi ya doria, kulinda mipaka ya nchi hiyo, mmoja wa vijana waliopeleka maombi ya kazi hiyo alikua ni Cody Slaughter.
Kijana huyo wa umri wa miaka 22 ilibidi akamatwe na polisi baada ya kupitia documents zake na kujua kuwa alikuwa ni mhalifu aliyetoroka Polisi ambapo hata alipokamatwa na kuhojiwa alikiri kuwa aliwahi kumdharirisha kingono mtoto wa umri wa miaka 2 miaka 8 iliyopita akiwa na miaka 14.
Mbali na hilo pia Cody alikiri kuwa alikuwa na maingiliano ya ngono na mbwa, farasi na nguruwe, na alikuwa na historia ya utumiaji wa dawa za kulevya na baadaye mchinjaji.
Licha ya kubainika na makosa hayo aliyoyafanya kati ya mwaka 2004-2012 lakini ikagundulika kuwa alitoroka polisi wakati uchunguzi wa kesi zake unaendelea ambapo baadaye ndio akaenda kuomba kazi hiyo ya doria serikalini na kukamatwa.
Kesi zote za Cody zilirudishwa kule alikotoroka mjini Yuma Arizona na ndoto zake za kupata ajira zikaota mbawa. Jiunge nasi telegram kwa kubonyeza link kwenye bio.
@fm_facts

Comments
Post a Comment