FAINI YA KIPEKEE DUNIANI
Unajua kwamba huko nchini Finland, Hakuna faini maalumu kwa ajili ya dereva anayetumia barabara kinyume na sheria bali wanaangalia mapato yako ya mwezi ndipo wanakupiga faini inayoendana na mapato yako.😀😀
Ingekuwa Tanzania hii, sijui tu.
Ingekuwa Tanzania hii, sijui tu.
Comments
Post a Comment