AJIUA KISA MGAHAWA WAKE KUSHUKA UBORA

From @fmfacts

Baada ya Mgahawa Wake wa Gusteau Kushushwa Hadhi Kutoka Hadhi ya Nyota 5 Hadi Nyota 3 Mwaka 2003 kwa Kufanyiwa Figisu na Mmoja wa Wapishi Wake Aliyewahi Kufanya Kazi Hapo, Mpishi Maarufu wa Ufaransa Bernard Loiso Aliyekuwa Anaumiliki Mgahawa Huo Akajiuwa.


Bernard alikuwa ni mpishi mashuhuri nchini ufaransa na mwenye talanta kubwa ya upishi ambaye mwanzoni mwa miaka ya 2000 alianzisha mgahawa wa Gusteau, ambao haraka ukapewa hadhi ya nyota tano.

Kauli mbiu yake ya kibinafsi ilikuwa ni kwamba mtu yeyote anaweza kupika, alikuwa mpishi mdogo katika historia katika nchi hiyo kupata mgahawa wenye nyota 5, na alikuwa miongoni mwa wapishi bora zaidi ulimwenguni.

Mgahawa huo ulipoteza moja kati ya nyota zake tano na kushushwa hadi nyota tatu baada ya mwaka 2003 mkosoaji mkuu wa chakula wa Ufaransa Anton Ego kuandika mambo machafu juu ya mgahawa huo akisema kuwa anafahamu siri zote kwakuwa yeye pia aliwahi kufanya kazi ya upishi hapo.

Bernard alivunjika moyo kutokana na mgahawa wake kushushwa hadhi, baadaye akakutwa amejiuwa. Baadaye mgahawa huu ulibadilishwa na sasa unaitwa La Ratatouille. 
@fm_facts

Comments

Popular posts from this blog

KIFO NDIO KIWATENGENISHE

MFAHAMU MBAKAJI WA NGURUWE

TAJIRI MKUBWA DUNIANI