CLUB ILIYOIBA LOGO

From fm facts




Klabu ya Soka ya Olympic Burgas ya Burgaria Iliiba Logo ya Klabu ya Soka ya Ajax ya Uholanzi na Kuitumia Kama Logo Yao Pia, Tofauti Ilikuwa Majina tuu. Ajax Walivyolalamika Klabu Hiyo Ikaongeza Sigara Kwenye Mchoro wa Mtu Katika Logo Hiyo ili Kuweka Utofauti. Tazama Picha.
Inaelezwa kuwa mchoro huo ni mchoro wa mungu wa Ugiriki ya kale, kwahiyo katika logo ya Olympic Burgas mungu huyo anavuta sigara.

Comments

Popular posts from this blog

KIFO NDIO KIWATENGENISHE

MFAHAMU MBAKAJI WA NGURUWE

TAJIRI MKUBWA DUNIANI